Total Reports Avg Reports Per Day % Verified
516 1.15 99.61%

Reports: Showing page 1 of 18 pages

MEDIA
REPORT TITLE
DATE
LOCATION
VERIFIED?
 

BALALA ASEMA ARDHI YA WAPWANI HAITANYAKULIWA

Waziri wa utalii Najib Balala ametoa hakikisho kwa wakaazi wa Pwani ardhi yao haitachukuliwa na haitanyakuliwa na mtu.Aidha Balala amewataka wakaazi hao...
2011-07-29
Mombasa
NO
 

Wabunge Taita Tavete Washtumiwa.

Wakaazi wa kaunti ya Taita Taveta wawewashtumu viongozi wa kaunti hiyo kwa kile wanachokitaja kuwa kutowajibika kwa viongozi hao.Kulingana na wananchi,...
2011-07-19
Taveta
YES
 

Unbalanced allocation of land caused land injustices: Report

Inequitable allocation of land as a result of political economy and governance issues has been attributed for the sorry state of the land sector in the...
2011-07-15
Nairobi
YES
 

“Tell us Who misused FPE funds”, Civil society demanded.

Despite the arrest of ten demonstrators on Wednesday, a group of protestors camped yesterday at the gate of Education minister Sam Ongeri office’s at...
2011-06-28
Nairobi.
YES
 

MBUNGE WA WUNDANYI ATAKA WAHUSIKA KATIKA KASHFA YA PESA ZA SHULE WAJIUZULU

Mbunge wa Wundanyi Thomas Mwadeghu amewataka wahusika wote wa kashfa ya ufujaji wa shilingi bilioni 4.2 za elimu kujiuzulu. Mwadeghu amesema ni sharti...
2011-06-26
Mombasa
YES
 

HIV Tribunal starts work

People living with AIDS who have been subjected to discrimination and stigma due to their status can now seek help from a tribunal formed to deal with...
2011-06-22
Nairobi
YES
 

Kenyan Woman Struggles with Hurdles of life

With the escalating high demands of both rural and urban life, many people with disabilities are not able to access quality services either for their...
2011-06-15
muindi mbingu street
YES
 

SEACOM: Fiber Optic Cable, the Way to go

Kenya invests Over Ksh. 60 Million in the National optic fiber backbone infrastructure in embracing technology “Every 10% increase in high speed internet...
2011-06-14
muindi mbingu street
YES
 

Wakaazi Kaunti ya Lamu Walalamikia Kuuzwa kwa Ardhi

Wakaazi wa kaunti ya Lamu wamewashutumu maafisa wa serekali za wilaya kwa kuuza ardhi katika eneo hilo. Mwenyekiti wa kundi la wakulima la Shungwaya...
2011-06-09
lamu
YES
 

Food prices sparked Protest.

Hundreds of protestors thronged the city streets on Tuesday in peaceful demonstrations organized by the Bunge La Mwananchi and other civil societies to...
2011-06-07
Nairobi
YES
 

Viongozi Pwani Walaani Vitisho vya MRC

Viongozi wa kisiasa kutoka kaunti ya Mombasa, wamelaani vitisho vya wanachama wa kundi haramu la Mombasa Republican Council vya kuwataka wakaazi wa Pwani...
2011-06-01
Mombasa
YES
 

WAKAAZI TAVETA WATAFUTA HUDUMA ZA AFYA TANZANIA

Huduma za kiafya hapa nchinihaswa kwa hospitali za umma zimekuwa zikikashifiwa vikali na wanchi vilevile na mashirika mbalimbali. kufuatia huduma hii...
2011-05-31
COAST PROVINCE
YES
 

WAKAAZI PWANI KUTATIZA SHUGHULI YA MABADILIKO KWA SERA YA KITAIFA YA ARDHI

Wakaazi wa Mkoa wa Pwani, sasa wameapa kutatiza shughuli za mabadiliko katika sera ya kitaifa ya ardhi kutokana na kile wanachodai kutowakilishwa vilivyo...
2011-05-31
Mombasa
YES
 

Security Beefed up in the South Coast

Heavy security has been deployed along the major forests in South Coast amidst reports members that the outlawed Mombasa Republican Council(MRC)is planning...
2011-05-31
Mombasa
YES
 

Utata wakabili ujenzi wa nyumba

Utata umezuka kuhusu mradi wa ujenzi wa nyumba za kuwafidia wahasiriwa wa machafuko ya baada ya uchaguzi nchini. Tetezi zinalenga jinsi maafisa wa utawala...
2011-05-30
njoro
YES
 

Politics to blame in IDP ressetlement

The government has been accused of playing politics in the resettlement of internally displaced persons. Leaders from areas where government bought land...
2011-05-30
Nakuru
YES
 

Saitoti Atoa onyo Kali kwa Makundi Haramu

Waziri wa usalama wa ndani Profesa George Saitoti ametoa onyo kali dhidi ya makundi haramu Mkoani Pwani,na kuwahimiza vijana dhidi ya kujiunga na makundi...
2011-05-27
MOMBASA
YES
 

Mzozo Baina ya Wakaazi wa Ramisi na Kiwanda Waendelea

Mzozo wa Ardhi baina ya wakaazi wa Ramisi na kiwanda cha sukari cha KISCOl unaendelea huku wakaazi hao wakidai kuerejelea mashamba yao. Wenyeji wanadai...
2011-05-27
Ramisi
YES
 

Former MP calls for suspension of forest evictions.

A former MP has challenged the government to suspend eviction of forest dwellers to pave way for more consultation on the matter. Mr Gideon Moi said intended...
2011-05-24
laikipia
YES
 

Eburu forest targeted by illegal loggers and herdsmen.

Rehabilitation of Mau complex was being frustrated by encroachment of illegal loggers and Pastoralists. The intruders are accused of destroying tree seedlings...
2011-05-24
naivasha
YES
 

Nakuru Slum Residents want Street lights to improve Security

Residents from various slum areas in Nakuru want the local civic authority to speed up a street lighting programme to boost security in the informal settlement...
2011-05-24
nakuru
YES
 

Another batch of Mau settlers faced with eviction in Njoro

The Kenya Forest Service is targeting to an additional 5,000 of the controversial Mau Complex this year. The forests regulator is optimistic to achieve...
2011-05-24
njoro
YES
 

IDPs' children ejected from school..

Internally displaced children attending secondary and primary schools in Nakuru are dropping out because of extra levies being imposed on their parents...
2011-05-24
Nakuru, IDP pipeline camp
YES
 

Experts discuss land conflicts in Mau Narok

A panel of experts would engage various communities at a remote village in Nakuru county to discuss land conflicts in rift valley. Today’s public forum...
2011-05-24
Mau Narok
YES
 

Prevention of deaths among women in Kenya

Maternal mortality refers to those deaths which are caused by complications due to pregnancy or childbirth. These complications may be felt during pregnancy...
2011-05-20
muindi mbingu street
YES
 

Washika Dau Kutafuta Suluhu kwa Tatizo la Ndovu.

Wakaazi wa Mwakitau kaunti ya Taita Taveta wametoa wito kwa serikali, shirika la wanyamapori na wizara ya utalii, kutafuta suluhu la kudumu kwa tatizo...
2011-05-20
MWAKITAU
YES
 

Glaxo Smith Kline slices cost of drugs.

A leading pharmaceutical company GlaxoSmithKline(GSK) has announced that it will reduce the prices of its essential drugs by as much as 25 percent as...
2011-05-20
muindi mbingu street
YES
 

Wakaazi wa Mzizima Wapinga Kuondolewa Kwenye Ardhi.

Pendekezo la utawala wa mkoa, na baraza la manispaa ya Mombasa la kutaka kuwaondosha wakaazi katika mtaa wa mabanda wa mzizima eneo la Bakistani, umekumbwa...
2011-05-20
BUXTON
YES
 

Mkuu wa Polisi Pwani Awatetea Maafisaa Wake

Mkuu wa polisi mkoani pwani Agrey Adoli amekanusha madai kwamba maafisa wake wa polisi wanajihusisha na visa vya ujambazi. Adoli amesema kuwa kikosi hicho...
2011-05-17
Mombasa
YES
 

Concern over High Maternal Mortality among Kenyan Women

Maternal mortality refers to those deaths which are caused by complications due to pregnancy or childbirth. These complications may be felt during pregnancy...
2011-05-16
Nairobi
YES