Verified

MBUNGE WA WUNDANYI ATAKA WAHUSIKA KATIKA KASHFA YA PESA ZA SHULE WAJIUZULU

  • Incident Incident
  • Nearby Incident Nearby Incident

Incident Report Description

Mbunge wa Wundanyi Thomas Mwadeghu amewataka wahusika wote wa kashfa ya
ufujaji wa shilingi bilioni 4.2 za elimu kujiuzulu.
Mwadeghu amesema ni sharti kila afisa wa serekali atakayepatikana na kashfa yoyote kujiuzulu HADI PALE UCHUNGUZI UTAKAPOMALIZIKA. Wito huu unajiri wakati ambapo maafisa wa ujasusi wamepata idhini kutoka kwa mahakama kuchungunguza akunti za pesa katika wizara ya elimu ili kubaini jinsi pesa hizo zilizopotea.
Credibility: UP  DOWN  0

Related Mainstream News of Incident

TITLE SOURCE DATE
Mubarak and sons detained amid corruption... Standard Headli... Apr 13 2011
Kenya’s husband-and-wife pair all set for... Daily Nation Ne... Apr 12 2011
Battle for regional glory finally begins Daily Nation Ne... Apr 12 2011
Laiser Hill draw the first blood Daily Nation Ne... Apr 12 2011
Embark on reconciliation, Raila tells Ouatara Standard Headli... Apr 12 2011

Incident Report(s)

TITLE LOCATION DATE
IIEC to Correct ErrorsMatugaJun 21 2010
End of campaigns in MatugaMatugaJul 11 2010
Mwakwere re-electedMatugaJul 13 2010
Mkuu wa Polisi Pwani Awatetea Maafisaa WakeMombasaMay 17 2011
Wakaazi wa Mzizima Wapinga Kuondolewa Kwenye Ardhi.BUXTONMay 20 2011