Unverified

BALALA ASEMA ARDHI YA WAPWANI HAITANYAKULIWA

  • Location Mombasa
  • Date Jul 29 2011
  • Time 16:32
  • Category Justice   
  • Incident Incident
  • Nearby Incident Nearby Incident

Incident Report Description

Waziri wa utalii Najib Balala ametoa hakikisho kwa wakaazi wa Pwani ardhi yao haitachukuliwa na haitanyakuliwa na mtu.Aidha Balala amewataka wakaazi hao kujiepusha na ukabila ili kwa pamoja wajenge mkoa wa pwani.vilevile balala amewataka wakaazi wa pwani wajiepushe na wanasiasa wanaojipigia debe wakitumia swala la ardhi kuwa watawasaidia.haya yanajiri huku visa vya mabwenyenye kunyakua vipande nya ardhi kutoka kwa wananchi na kuwaacha wakihangaika.
Credibility: UP  DOWN  0

Related Mainstream News of Incident

TITLE SOURCE DATE
Mubarak and sons detained amid corruption... Standard Headli... Apr 13 2011
Kenya’s husband-and-wife pair all set for... Daily Nation Ne... Apr 12 2011
Battle for regional glory finally begins Daily Nation Ne... Apr 12 2011
Laiser Hill draw the first blood Daily Nation Ne... Apr 12 2011
Embark on reconciliation, Raila tells Ouatara Standard Headli... Apr 12 2011

Incident Report(s)

TITLE LOCATION DATE
IIEC to Correct ErrorsMatugaJun 21 2010
End of campaigns in MatugaMatugaJul 11 2010
Mwakwere re-electedMatugaJul 13 2010
Mkuu wa Polisi Pwani Awatetea Maafisaa WakeMombasaMay 17 2011
Wakaazi wa Mzizima Wapinga Kuondolewa Kwenye Ardhi.BUXTONMay 20 2011