Verified

Wabunge Taita Tavete Washtumiwa.

  • Location Taveta
  • Date Jul 19 2011
  • Time 16:31
  • Category Politics   
  • Incident Incident
  • Nearby Incident Nearby Incident

Incident Report Description

Wakaazi wa kaunti ya Taita Taveta wawewashtumu viongozi wa kaunti hiyo kwa kile wanachokitaja kuwa kutowajibika kwa viongozi hao.Kulingana na wananchi, viongozi hao hawafanyi lolote kuwasaidia wananchi au hata kuimarisha kaunti hiyo. Haya yanajiri siku chache tu baada ya viongozi wa kaunti ya Taita Taveta kulimbikiziana lawama hadharani huku kila mmoja akijaribu kulisafisha jina lake mbele ya wananchi.
Hali hii imewafanya wananchi Kuhapa kutowarudisha viongozi hao madarakani wakati wa uchaguzi mkuu ujao.
Wananchi hao wamesema kuna maswala mengi ambayo yanawakumba kama vile tatizo la ndovu , barabara , maji , miongoni mwa matatizo mengine yanahitaji kiongozi ambaye ana maono kusaidia kupata suluhu la kudumu.
Credibility: UP  DOWN  0

Related Mainstream News of Incident

TITLE SOURCE DATE
Mubarak and sons detained amid corruption... Standard Headli... Apr 13 2011
Kenya’s husband-and-wife pair all set for... Daily Nation Ne... Apr 12 2011
Battle for regional glory finally begins Daily Nation Ne... Apr 12 2011
Laiser Hill draw the first blood Daily Nation Ne... Apr 12 2011
Embark on reconciliation, Raila tells Ouatara Standard Headli... Apr 12 2011