Verified

Wakaazi Kaunti ya Lamu Walalamikia Kuuzwa kwa Ardhi

  • Incident Incident
  • Nearby Incident Nearby Incident

Incident Report Description

Wakaazi wa kaunti ya Lamu wamewashutumu maafisa wa serekali za wilaya kwa kuuza ardhi katika eneo hilo.

Mwenyekiti wa kundi la wakulima la Shungwaya Mohammed Mbwana anadai kuwa viongozi katika eneo hilo, wameuza vipande vingi vya ardhi kutokana na ujenzi wa bandari ya Lamu unaotarajiwa kuanza hivi karibuni.

wakaazi hao wanamtaka waziri wa ardhi James
Orengo kuharakisha na kukamilisha shughuli ya kuwapa makao wakaazi wa eneo hilo, kabla ya kuwapa watu wengine.
Credibility: UP  DOWN  0

Related Mainstream News of Incident

TITLE SOURCE DATE
Mubarak and sons detained amid corruption... Standard Headli... Apr 13 2011
Kenya’s husband-and-wife pair all set for... Daily Nation Ne... Apr 12 2011
Battle for regional glory finally begins Daily Nation Ne... Apr 12 2011
Laiser Hill draw the first blood Daily Nation Ne... Apr 12 2011
Embark on reconciliation, Raila tells Ouatara Standard Headli... Apr 12 2011

Incident Report(s)

TITLE LOCATION DATE
IIEC to Correct ErrorsMatugaJun 21 2010
End of campaigns in MatugaMatugaJul 11 2010
Mwakwere re-electedMatugaJul 13 2010
Mkuu wa Polisi Pwani Awatetea Maafisaa WakeMombasaMay 17 2011
Wakaazi wa Mzizima Wapinga Kuondolewa Kwenye Ardhi.BUXTONMay 20 2011