Sunday, 28 September 2025, 3:30 AM

 

 

 

Maambukizi Ya HIV Kwa Watoto Yapungua

Mkurugenzi wa huduma za matibabu asema kuwa viwango vya maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi kutoka kwa mama hadi mtoto vimepungua kwa idadi kubwa tangu kuanzishwa kwa mpango unaolenga akina mama wanaugua ugonjwa huo.

Source: Taifa Jumapili, Pg. 5

Date: Sunday, 14 Aug 2011

Download:  Maambukizi Ya HIV Kwa Watoto Yapungua .pdf